Matukio : Rais Dk. Jakaya Kikwete Amwapisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mpya, Ikulu Dar - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 6 January 2015

Matukio : Rais Dk. Jakaya Kikwete Amwapisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mpya, Ikulu Dar


unnamed1S 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, akimwapisha George Mcheche, kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, wakati wa hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam. unnamed2S 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, akisaini nyaraka wakati wa hafla fupi ya kumwapisha, George Mcheche, kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, kwenye hafla hiyo iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam. unnamed3S 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, akimkabidhi nyaraka za Serikali, George Mcheche, baada ya kumwapisha kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, wakati wa hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
unnamed4S
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (wa kwanza kutoka kulia) Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Spika wa Bunge la Jamhuri, Anne Makindajaji Mkuu, Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othuman, Katibu wa NEC,Siasa na Uhusiano wa Kimataifa,Dkt. Asha-Rose Migiro na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Mcheche, aliyeteuliwa, wakiwa katia ukumbi wakisubiri zoezi hilo la kuapishwa. unnamed5S
Picha ya pamoja ya kumbukumbu na viongozi wa ngazi za juu unnamed6S 
Picha ya pamoja ya kumbukumbu na wakuu wa Ulinzi na usalama. unnamed7S
Picha ya pamoja ya kumbukumbu na wanafamilia wa Bw. George. unnamed9S 
Picha ya pamoja ya kumbukumbu na baadhi ya wafanyakazi wenzake. unnamed10S 
Picha ya pamoja ya kumbukumbu na baadhi ya wafanyakazi Tume ya Sheria.
unnamed11S Mwanasheria Mkuu wa Serikali aliyekuwa akisubiri kuapishwa, George Mcheche, akizungumza jambo na viongozi wa Kamati ya Ulinzi na Usalama, wakati wa hafl hiyo. unnamed12S 
Baadhi ya viongozi waliohudhuria hafla hiyo.Picha na OMR

No comments:

Post a Comment