Siasa Zetu : Chama cha Mapinduzi (CCM) kimekutana na kufanya Kikao Maalum , Mjini Zanzibar - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Sunday, 11 January 2015

Siasa Zetu : Chama cha Mapinduzi (CCM) kimekutana na kufanya Kikao Maalum , Mjini Zanzibar


 Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein wa pili kulia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal wa tatu kulia, Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai kulia na Mjumbe wa Halmashauri kuu na Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, wakiwa kwenye ukumbi wa mkutano wa kabla ya kuanza kwa kikao cha kamati maalum ya CCM kilichifanyiaka leo Ofisi kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar.
 Wajumbe wa Kamati Maalum ya CCM iliyokutana leo Ofisi kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar, wakiwa kwenye ukumbi wa mkutano wakati Kikao hicho kilipokua kikiendelea leo Januari 11, 2014  Ofisi kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein (kulia) Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal wa tatu (katikati) Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai (kushoto) katika ufunguzi wa kikao hicho.

No comments:

Post a Comment