Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Mkazi wa Bagamoyo mjini,
Mohamed Amani anayeugua ugonjwa wa Kiharusi kutokana na maradhi ya
moyo.Rais kikwete aliyekuwa katika mapunziko ya mwisho wa wiki nyumbani
kwake mjini Bagamoyo alimwona mgonjwa huyo na kuamua kusimama kumjulia
hali na kuahidi kumpatia msaada wa matibabu. Picha na Freddy Maro
MRADI WA BUREFOBI WACHOCHEA UTALII IKOLOJIA KATIKA HIFADHI YA MISITU PUGU
KAZIMZUMBWI
-
Na Mwandishi Wetu, Pwani
WAKALA wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) umesema maboresho ya miundombinu
yanayotekelezwa kupitia Mradi wa Kujenga Ustahimili...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment