Balozi
wa Sweden nchini Tanzania,Mh. Lennarth Hjelmaker akizungumza wakati wa
hafla ya kumuaga aliekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi isiyo ya
kiserikali ya Twaweza, Rakesh Rajani iliyofanyika jana jioni kwenye
viwanja vya Karimjee,Jijini Dar es Salaam.
Mbunge
wa Jimbo la Kigoma Kaskazini,Mh. Zitto Kabwe akizungumza wakati wa
hafla ya kumuaga aliekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi isiyo ya
kiserikali ya Twaweza, Rakesh Rajani iliyofanyika jana jioni kwenye
viwanja vya Karimjee,Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi
Mtendaji wa taasisi isiyo ya kiserikali ya Twaweza (aliemaliza muda
wake), Rakesh Rajani (kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na Mbunge wa
Jimbo la Kigoma Kaskazini,Mh. Zitto Kabwe (katikati) pamoja na Mkaguzi
wa Hesabu za Serikali (Mstaafu),Ludovick Utouh wakati wa hafla fupi
iliyofanyika jana jioni kwenye viwanja vya Karimjee,Jijini Dar es
Salaam.
Rais wa TUCTA,Grasian Mukoba akizngumza machache wakati
wa hafla ya kumuaga aliekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi isiyo ya
kiserikali ya Twaweza, Rakesh Rajani iliyofanyika jana jioni kwenye
viwanja vya Karimjee,Jijini Dar es Salaam.
Ankal na wadau pia walihudhulia hafla hiyo.
Mkurugenzi
Mtendaji wa taasisi isiyo ya kiserikali ya Twaweza (aliemaliza muda
wake), Rakesh Rajani akiwa amejumuika na wadau wengine kwenye hafla ya
kumuaga iliyofanyika jana jioni kwenye viwanja vya Karimjee,Jijini Dar es Salaam.
Wadau mbali mbali kwenye hafla hiyo.
No comments:
Post a Comment