Kaimu
Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es salaam (DAWASA)
Didas Mwilawi ambaye pia ni Mkurugenzi wa Fedha akisalimiana na
Mwenyekiti wa wa Kamati ya Ufundi ya Bodi ya DAWASA Christine Kilindu
alipowasili eneo zinapojengwa ofisi za mradi wa bomba kuu la maji kutoka
Ruvu Juu zilizopo Kibaha.
Wajumbe
wa Kamati ya Ufundi ya Bodi ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es
salaam (DAWASA) wakiwa wameanza ziara yao ya siku moja katika mikoa ya
Dar es salaam na Pwani kukagua na kujionea hatua iliyofikiwa katika
mradi wa ujenzi wa miundo mbinu ya maji kutoka Ruvu Chini na Ruvu Juu
ili kuboresha huduma ya upatikanaji wa maji kwa wananchi katika mikoa
hiyo.
Wajumbe
wa Kamati ya Ufundi ya Bodi ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es
salaam (DAWASA) wakiwa ndani ya tangi la maji eneo la chuo Kikuu cha
Dar es salaam wakijionea ukaradati unaoendelea ili kuboresha
upatikanajin wa maji jijini.
Wajumbe
wa Kamati ya Ufundi ya Bodi ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es
salaam (DAWASA) wakiangalia maungio ya mradi wa bomba jipya kutoka
mtambo wa Ruvu Chini yaliyopo eneo la Mpiji wilaya ya Bagamoyo mkoa wa
Pwani.
Wajumbe
wa Kamati ya Ufundi ya Bodi ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es
salaam (DAWASA) kukagua mabomba yaliyohifadhiwa eneo la Kibaha
Mwendapole wakati wa ziara yao ya siku moja katika mikoa ya Dar es
salaam na Pwani kukagua na kujionea hatua iliyofikiwa katika mradi wa
ujenzi wa miundo mbinu ya maji kutoka Ruvu Chini na Ruvu Juu ili
kuboresha huduma ya upatikanaji wa maji kwa wananchi katika mikoa hiyo.
Meneja
wa Mradi wa upanuzi wa mtambo wa Ruvu Juu Pintu Dutta kwa kampuni ya VA
TECH WABAG kutoka India akifafanua jambo kwa Wajumbe wa Kamati ya
Ufundi ya Bodi ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es salaam
(DAWASA) walipotembelea huo eneo la upanuzi wa mtambo wa Ruvu Juu wakati
wa ziara yao ya siku moja katika mikoa ya Dar es salaam na Pwani
kukagua na kujionea hatua iliyofikiwa katika mradi wa ujenzi wa miundo
mbinu ya maji kutoka Ruvu Chini na Ruvu Juu ili kuboresha huduma ya
upatikanaji wa maji kwa wananchi katika mikoa hiyo.
Wajumbe
wa Kamati ya Ufundi ya Bodi ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es
salaam (DAWASA) wakitembelea sehemu unapofanyika upanuzi wa mtambo wa
Ruvu Juu wakati wa ziara yao ya siku moja katika mikoa ya Dar es salaam
na Pwani kukagua na kujionea hatua iliyofikiwa katika mradi wa ujenzi wa
miundo mbinu ya maji kutoka Ruvu Chini na Ruvu Juu ili kuboresha huduma
ya upatikanaji wa maji kwa wananchi katika mikoa hiyo.
Baadhi
ya wajumbe wa Kamati ya Ufundi ya Bodi ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji
Taka Dar es salaam (DAWASA) wakiangalia moja ya matangi ya maji sehemu
unapofanyika upanuzi wa mtambo wa Ruvu Juu.
Msingi wa moja kati ya matangi matatu yanayojengwa yakiwa ni upanuzi wa mtambo wa Ruvu Juu.
Mafundi wakiendelea na shughuli ya upanuzi wa mtambo wa Ruvu Juu.
Sehemu ya mtambo wa Ruvu Juu kabla ya upanuzi.
Moja
ya hatua ya kusafisha maji katika mtambo wa Ruvu Juu kabla ya
kusafirishwa tayari kwa matumizi kwa wakazi wa mikoa ya Dar es salaasm
na Pwani.
(Picha zote na Eleuteri Mangi- MAELEZO)
No comments:
Post a Comment