Rais Jakaya Kikwete akimwapisha Msajili wa Mahakama ya Rufaa Bibi Katarina Tengia Revocati Ikulu Dar es Salaam, leo mchana.
Rais
Kikwete, akimkabidhi nyaraka za serikali Msajili wa Mahakama ya Rufaa,
Bibi Katarina Tengia, baada ya kuapishwa Ikulu Dar es Salaam leo. Picha
na Freddy Maro
No comments:
Post a Comment