Kamishna
Msaidizi wa Gesi, Mhandisi, Nobert Kahyoza, akifungua semina ya TPDC
kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini. Semina hiyo
ililenga kutoa taarifa muhimu zinazo hitajika kwa wadau katika sekta ya
mafuta na gesi kutoka sehemu mbali mbali zikiwemo wizara, taasisi na
waandishi wa habari, semina hiyo iliyofanyika Bagamoyo.
Wadau
wa sekta ya mafuta na gesi walioshiriki semina wakifutilia kwa makini
mtoa mada (hayupo pichani) katika semina hiyo Bagamoyo.
Mwenyekiti wa Bodi ya TPDC, Ndg. Michael Mwanda, akifunga semina ya wadau wa mafuta na gesi iliyofanyika Bagamoyo.
Kamishna
Msaidizi wa Gesi, Mhandisi, Nobert Kahyoza, akizungumza na waandishi wa
habari (hawapo pichani) wakati wa semina ya wadau wa mafuta na gesi
Bagamoyo.
Washiriki wa semina ya mafuta na gesi iliyoandaliwa na TPDC na kufanyika Bagamoyo, wakiwa katika picha ya pamoja.
No comments:
Post a Comment