Maji ni Uhai : Mhe. Amos Makalla Atembelea Miradi ya Maji katika Halmashauri ya Meru ,Jijini Arusha - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Friday, 19 December 2014

demo-image

Maji ni Uhai : Mhe. Amos Makalla Atembelea Miradi ya Maji katika Halmashauri ya Meru ,Jijini Arusha

unnamed+(67)
Naibu Waziri Maji,Mh. Amos Makalla akiongozana na ujumbe wake kutembelea Kata ya Makiba iliopo kwenye kijiji cha Valeska Wilayani Arumeru akiwa katika ziara ya Kikazi leo.
unnamed+(66)
Naibu Waziri Maji,Mh. Amos Makalla akisikiliza maelezo ya mradi wa maji toka kwa mmoja wa watendaji katika Kata hiyo.Kushoto ni Diwani wa Kata ya Makiba,Bi. Mwanaid Kimu.
unnamed+(64)
Naibu Waziri Maji,Mh. Amos Makalla akiangalia kisima cha maji katika kijiji cha Majengo kata ya Makiba.
unnamed+(68)
Naibu Waziri Maji,Mh. Amos Makalla akiwa katika ukaguzi wa tanki la maji kijiji cha Patanumbe Kata ya Makiba.
unnamed+(63)
Naibu Waziri Maji,Mh. Amos Makalla akivishwa vasi la kimila wakati alipokutana na wanakijiji wa Patanumbe Kata ya Makiba Wilayani Arumeru.
unnamed+(65)
Naibu Waziri Maji,Mh. Amos Makalla akijibu maswali mbalimbali kutoka kwa waandishi wa habari.

No comments:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *