Siasa na Maisha : Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete Atoa zaidi ya Baiskeli 200 kwa Ofisi za CCM Jimboni Kwake - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Friday, 21 November 2014

Siasa na Maisha : Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete Atoa zaidi ya Baiskeli 200 kwa Ofisi za CCM Jimboni Kwake


Mjumbe wa Halamashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (NEC) na Mbunge wa Jimbo la Chalinze lililopo Wilaya ya Bagamoyo, mkoani Pwani, Ridhiwan Kikwete amefanya ziara Jimboni kwake na kugawa Baiskeli 221 kwaajili matawi yote ya CCM jimboni humo kusaidia shughukli za uchaguzi Serikali za Mitaa na Vijiji.
 Katibu wa Mbunge wa Chalinze, akiwa na baadhi ya Makatibu wa Matawi ya CCM.
 Katibu wa Mbunge akiwa na mtaalam wa uchimbaji maji na vifaa vyao katika Shule ya Sekondari ya Wafugaji Moreto ambako kisima cha maji kwaajili ya wananchi kitachimbwa.
 Mbunge wa Chalinze, Ridhwani Kikwete akiwa na watoto jimboni kwake.
Mbunge wa Chalinze, Ridhwani Kikwete alifanya Mkutano na wapiga kura wake nyumbani kwa Balozi wa Chama Zimbili, huko Mandamazingara ambapo alisikiliza kero mbali mbali za wananchi na kuzungumza nao.
 Pia alizungumza na mtu mmoja mmoja ...

 Akihutubia hadhara hiyo ya Mandamazingara nyumbani kwa Balozi wa Shina.
 Akichukua namba ya simu ya Mpigakura wake..

No comments:

Post a Comment