Mwili
wa Mwandishi wa Habari marehemu Baraka Karashani ukiwasili katika
makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande)
Mke
wa Marehemu, Baraka Karashani, Gloria na watoto wake Bonny na Belinda
wakiweka shada la maua katika kaburi wakati wa mazishi yaliyofanyika
kwenye makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam

kwenye makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Phili Karashani akiweka shada la maua pamoja na mke wake.
Baadhi ya waombolezaji.
Bonny akiwa ameduwaa wakati wa mazishi ya baba yake.
Mzee Phili Karashani akitoa neno la shukrani wakati wa mazishi ya mtoti wake Baraka Karashani.
Mtoto wa marehemu, Baraka Karashani akiwa ameshika picha ya marehemu baba yake.
Kaburi la marehemu Baraka.
Mke wa marehemu, Glory pamoja na watotto, Bonny na Belinda wakiweka udongo katika kaburi.
Baba mzazi wa marehe akiweka udongo katika kaburi la Baraka Karashani.
Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria mazishi ya Baraka Karashani.
Mchungaji akiweka shada la maua.
Katibu
Mkuu wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo (TASWA), Amir Mhando
akiweka shada la maua katika kaburi la marehemu Baraka Karashani.
No comments:
Post a Comment