Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Maaskofu wa kanisa la Anglican
nchini bada ya kuwasili kwnye Kanisa lao Kuu mjini Dodoma kuhudhuria
ibada ya kumweka wakfu Askofu wa Dayosisi ya Central Tanganyika,Dkt.
Dickson Chilongani Novemba 23, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya picha Askofu wa
Dayosisi ya Central Tanganyika,Dkt. Dickson Chilongani katika ibada ya
kumweka wakfu Askofu huyo iliyofanyika kwenye kanisa kuu la Anglican
mjini Dodoma Novemba 23, 2014.
Baadhi ya washiriki wa Ibada ya kumweka wakfu Askofu wa Dayosisi ya
Central Tanganyika,Dkt. Dickson Chilongani wakimsikiliza Waziri Mkuu
Mizengo Pinda wakati alipozungumza kwenye ibada hiyo iliyofanyika kwenye
kanisa Kuu la Anglican mjini Dodoma Novemba 23, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na washiriki wa ibada ya kumweka
wakfu, Askofu wa Da yosisi ya Central Tanganyika,Dkt. Dickson Chilongani
kwenye kanisa Kuu la Anglican mjini Dodoma Novemba 23, 2014.Picha zote na Doreen Aloyce wa Blogu ya Wazalendo 25 Blog
MAELEKEZO YA DKT. MWIGULU YA KUSULUHISHA MIGOGORO YA ARDHI SINGIDA YAANZA
KUTEKELEZWA.
-
Maelekezo ya Mheshimiwa Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba aliyoyatoa wakati
wa ziara yake ya kikazi wilayani Ikungi na katika Manispaa ya Singida Juni
27,...
12 hours ago
No comments:
Post a Comment