Mama mzazi wa Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi akimpa baraka mwanaye muda mfupi kabla ya mgombea huyo mwenza kwenda kuungana na mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Samia Suluhu Hassan, kuchukua fomu za kuwania urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu leo, tarehe 9 Agosti 2025, katika Tume Huru ya Uchaguzi (INEC).
TANZANIA, ALGERIA ZAAHIDI KUIMARISHA USHIRIKIANO WA KIUCHUMI
-
Na Mwandishi Wetu, Algiers
TANZANIA na Algeria zimepiga hatua katika kuimarisha ushirikiano katika
sekta tano muhimu, ikiwamo viwanda vya dawa, nishati, e...
1 hour ago


No comments:
Post a Comment