Waziri
wa Afya Mhe.Dkt Seif Rashidi (kulia) akisalimiana na Mtendaji Mkuu wa
Hospitali ya Agha Khan,Sisawo Konteh wakati wa zoezi la upimaji wa Afya
kwa Waheshimiwa Wabunge,Mjini Dodoma jana.Katikani ni Mmoja wa Maafisa
waandamizi wa Hospitali ya Agha Khan.
Mbunge
wa Jimbo la Mbeya Vijijini,Mchungaji Luckson Mwanjale akimsikiliza kwa
Makini Mtaalam wa Maswala ya Afya kutoka Hospitali ya Agha Khan wakati
wa zoezi la kupima Afya kwa waheshimiwa Wabunge,Mjini Dodoma jana.
Mh. Mbunge akifanyiwa vipimo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (kazi maalum),Prof. Mark Mwandosya akijiandaa kupima uzito wake. Kwa picha zaidi bofya Hapa >>>
No comments:
Post a Comment