SHERIA ZETU :MWANASHERIA MKUU MPYA WA ZANZIBAR AAPISHWA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Friday, 17 October 2014

SHERIA ZETU :MWANASHERIA MKUU MPYA WA ZANZIBAR AAPISHWA


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akimuapisha Said Hassan Said kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment