BURUDANI YA MUZIKI : UONGOZI WA MSANII T.I WASHIRIKI SEMINA YA FURSA NDOGO YA WASANII, LITTLE THEATHER , JIJINI DAR - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Friday, 17 October 2014

BURUDANI YA MUZIKI : UONGOZI WA MSANII T.I WASHIRIKI SEMINA YA FURSA NDOGO YA WASANII, LITTLE THEATHER , JIJINI DAR


Meneja wa Msanii wa Kimataifa T.I anayetarajiwa kuwasili chini , kwa ajili ya kutumbuiza kwenye Tamasha la Fiesta 2014 hapo kesho katika viwanja vya Lidaz Club jijini Dar, Jonson Geter wa kwanza kushoto akifafanua jambo moja ya swali lililoulizwa na mmoja wasanii walioshiriki kwenye semina ya fursa ndogo ya Wasanii na wadau wa muziki iliyofanyika kwenye ukumbi wa Litle Theather,jijini Dar,Pichani kulia ni Prodyuza mahiri wa Muziki wa hapa nchini anayemiliki studioo yake ya Bongo Records,P-Funk Majani.

No comments:

Post a Comment