MUZIKI : MWANAMUZIKI WA TMK WANAUME FAMILY (YP ) AFARIKI DUNIA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 21 October 2014

MUZIKI : MWANAMUZIKI WA TMK WANAUME FAMILY (YP ) AFARIKI DUNIA


925356_1501548786777888_891361649_n
Ni leo asubuhi ndipo taarifa za msiba wa aliyekua msanii wa TMK Wanaume Family aliyekua akijulikana kama YP. Kwa mujibu wa maelezo aliyetoa Said Fella ambaye ndio kiongozi wa wanaume Family ni kua marehemu alianza kuumwa tangu mwezi wa nane mwaka jana. Na afya yake ilikua ikiendelea vizuri mpaka siku ya jumapili alipozidiwa na kukimbizwa hospitali ya Temeke ambapo usiku wa kuamkia leo ndipo mauti yalipomkuta.

No comments:

Post a Comment