Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na kumkaribisha, Rais wa MMI Bingwa wa Masuala ya Utawala na
Uongozi kutoka Bahamas, Dkt. Myles Munroe, na ujumbe wake wakati walipofika ofisini
kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, juzi Oktoba 20, 2014 akiwa na ujumbe wake na
kufanya mazungumzo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Rais wa MMI Bingwa wa Masuala ya Utawala na Uongozi kutoka
Bahamas, Dkt. Myles Munroe, wakati alipofika ofosini kwake Ikulu jijini Dar es
Salaam, juzi Oktoba 20, na kufanya mazungumzo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa
katika picha ya pamoja na Rais wa MMI Bingwa wa Masuala ya Utawala na Uongozi
kutoka Bahamas, Dkt. Myles Munroe, na ujumbe wake baada ya kumaliza mazungumzo
yao yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam.Picha na OMR
No comments:
Post a Comment