Mdau
Ebra anayeishi jiji la New York, Marekani, akipozi kwa picha na binti
yake, Fauzia, wakati wa sherehe ya mahafali ya kidato cha nne ya shule
Sekondari Baobab ya Bagamoyo, mwishoni mwa wiki. Ebra amewasili nchini
kwa ajili ya kuungana na bintiye katika kusherehekea kuhitimu masomo ya
kidato cha nne.
Ebra akipongezana na bintiye kwa furaha.
Ni
machozi ya furaha, binti hakuamini kumuona baba yake katika viwanja vya
shule hiyo kwani ilikuwa ni saplaiz, na kutoamini umbali wa Marekani.na
Tanzania kama angeweza kufika. Hongera sana Ebra kwa kuonyesha upendo
wa pekee kwa mwanao.
No comments:
Post a Comment