MAZISHI YALIVYOKUWA :MAMA SALMA KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA JAJI MSTAAFU LEWIS MAKAME, TANGA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Monday, 25 August 2014

MAZISHI YALIVYOKUWA :MAMA SALMA KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA JAJI MSTAAFU LEWIS MAKAME, TANGA

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimfariji Mama Mary Mbaga Makame, mjane wa Marehemu Jaji Lewis Mhina Makame mara baada ya kuwasili kijijini Tongwe, wilayani Muheza  kwa ajili ya mazishi tarehe 23.8.2014.

 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiaga mwili wa Marehemu Jaji Lewis Makame kijijini kwake huko Tongwe, wilayani Muheza.

 Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva muda mfupi kabla ya kuanza ibada ya mazishi ya Marehemu Jaji Lewis Makame iliyofanyika katika Kanisa  Anglikana la Mtakatifu Yusuf huko Tongwe, wilayani Muheza.
 Mama Salma Kikwete akifuatana na Mama Mary Makame na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mheshimiwa Angela Kairuki (kwa kwanza kulia) wakielekea kanisani.

No comments:

Post a Comment