Kampuni
ya Vipozi vya aina mbalimbali vya urembo OriFlame wamefanya maonesho ya
Bidhaa zao Tarehe 2.07.2014 katika ukumbi wa Zanzibar katika Hotel ya
Hyatt Regency(The Kilimanjaro Hotel).
Kampuni
hiyo yenye wigo mpana wa kibiashara ambayo ina matawi zaidi ya nchi 20
duniani na pia Katika Mabara manne ya Duniani wametambulisha bidhaa zao
mpya kwenye soko la Tanzania ambazo ni marashi ya kike na kiume pamoja
na vipodozi mbalimbali,
Juu
Pichani ni Maznat Yusuph Sinare kutoka saloon ya Maznat Bridal mtaalamu
wa kuchanganya Vipodozi akimremba mwanadada Janeci Maluli ili kuonyesha
aina tofauti za vipodozi vya Kampuni hiyo.
Maza
Yusuph Sinare akimpaka wanja wa nyusi Mwanamitindo Janeci Maluli
kwenye sherehe za uzinduzi wa bidhaa mpya za kampuni ya ORIFLAME
iliyofanyika kwenye ukumbi wa Zanzibar katika Hotel ya Hyatt Regency(The
Kilimanjaro Hotel).
Mwanadada Janeci Maluli akiwa kwenye pozi baada ya kumaliza kurembwa kwa kutumia Vipodozi vya kampuni ya ORIFLAME
Fredrick
Njoka akizungumza jambo na mkuu wa masoko wa kampuni ya Vipodozi ya
ORIFLAME, Harry Nyagi katika sherehe ya uzinduzi wa vipodozi vipya
kwenye ukumbi wa Zanziba Hotel ya Hyatt Regency(The Kilimanjaro Hotel).
Mkurugenzi
mkuu wa ORIFLAME katika upande wa Afrika ya Mashariki bwana Klas
Kronaas (kushoto) akizungumza jambo na mkuu wa masoko wa kampuni ya
Vipodozi ya ORIFLAME, Harry Nyagi (katikati) na kuliani mmoja wa
wafanyakazi wa kampuni hiyo Bi. Fortunata Nkya
Mkurugenzi
mkuu wa kampuni ya ORIFLAME katika upande wa Afrika ya Mashariki bwana
Klas Kronaas akielezea namna bidhaa zao zinavyotengenezwa kwenye kwenye
sherehe ya utambulisho wa bidhaa zao katika soko la Tanzania
Bi.
Maznat Yusuph Sinare akieleza namna bidhaa na vipodozi mbalimbali
vilivyokuwa na ubora wa kimataifa kwenye uzinduzi wa vipodozi vipya vya
kampuni ya ORIFLAME kwenye ukumbi wa
Maznat Yusuph Sinare akimpaka meck up mmoja wa warembo kwenye uzinduzi wa bidhaa mpya ya kampuni ya ORIFLAME
Mwanamitindo
Neema Mbuya akipita jukwaani kuonesha moja ya Ripstick kwenye sherehe
ya uzinduzi wa bidhaa mpya za kampuni ya ORIFLAME nchini Tanzania
Mwanamitindo
Annie Moses akiweka pozi la nguvu wakati akionesha Lipstick Ya kupaka
mdomoni kwenye uzinduzi wa Bidhaa za kampuni ya ORIFLAME
Mwanamitindo
Janeci Maluli alipita jukwaani akionesha moja ya Ripstick kwenye
sherehe ya uzinduzi wa bidhaa mpya ya kampuni ya ORIFLAME
Mkurugenzi
mkuu wa kampuni ya ORIFLAME katika upande wa Afrika ya Mashariki bwana
Klas Kronaas akifanya uzinduzi rasmi kwa kufungua bango lililokuwa
linaonesha bidhaa zao mpya
Mwonekano wa bidhaa zilizozinduliwa na kampuni ya ORIFLAME nchini Tanzania
Baadhi ya wadau waliofika kwenye uzinduzi huo wakifuatilia kwa makini maelekezo ya bidhaa za kampuni ya ORIFLAME
No comments:
Post a Comment