Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya TTCL wanaoshiriki Maonesho ya 38 ya
Biashara ya Kimataifa wakipiga picha ya pamoja na tuzo yao mara baada
ya kutwaa tuzo hiyo. Muonekano wa Banda la TTCL kwenye Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama Sabasaba.
Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya TTCL wanaoshiriki Maonesho ya 38 ya
Biashara ya Kimataifa wakipiga picha ya pamoja na tuzo yao mara baada
ya kutwaa tuzo hiyo.
Huduma
mbalimbali kwa wateja zikiendelea ndani ya Banda la TTCL kwenye
Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama Sabasaba.

Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama Sabasaba. Banda la TTCL kwenye Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama Sabasaba
KAMPUNI
ya Simu Tanzania, TTCL imeshinda tuzo katika kundi la kampuni zinazotoa
huduma za mawasiliano, kwenye Maonesho ya 38 ya Biashara ya Sabasaba
yanayoendelea katika viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam. Makamy
wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Iddi ndiye aliyemkabidhi tuzo
hiyo, Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu, Peter Ngota katika uzinduzi rasmi wa
Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa jijini Dar es Salaam
yanayofanyika kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere.
Ushindi
wa TTCL unatokana na ubora wa huduma zinazotolewa na kampuni hiyo
katika upande wa mawasiliano ya simu na pia mawasiliano ya intaneti
"DATA". TTCL imesema ushindi huo umeipa hamasa ya kuendelea kubuni
bidhaa ambazo zitakuwa chachu ya ukuaji uchumi nchini.
No comments:
Post a Comment