UJAMBAZI : JESHI LA POLISI MKOANI KILIMANJARO YANASA BUNDUKI MBILI, MOJA IMEFUNGWA HIRIZI - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 26 June 2014

demo-image

UJAMBAZI : JESHI LA POLISI MKOANI KILIMANJARO YANASA BUNDUKI MBILI, MOJA IMEFUNGWA HIRIZI

G03A1343
Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro, Robert Boaz akizungumza na waandishi wa habari wakati akitoa taarifa ya kukamatwa kwa bunduki mbili pamoja na mali kadhaa kufuatia operesheni tokomeza uhalifu inayoendeshwa na Jeshi la Polisi mkoani Hapo.
G03A1350
Kamanda Boaz akiwaonesha waandishi wa habari, bunduki mbili, ya kulia ni Shotgun Greener, ambayo imekatwa kitako pamoja na nyingine aina ya shotgun (ya kushoto), namba za usajili 68022, ambazo zinaaminika zimekuwa zikitumika katika matukio kadhaa ya ujambazi mkoani humo.
G03A1356
Baadhi ya vito vya thamani vilivyokamatwa katika operesheni hiyo zikiwemo bunduki hizo mbili .
G03A1359
Baadhi ya vito hivyo vikiwa vimetandazwa mezani katika makao makuu ya jeshi la polisi mkoani kilimanjaro
G03A1349
Kamanda Boaz akiwaonesha waandishi wa habari, bunduki mbili, ya kulia ni Shotgun Greener, ambayo imekatwa kitako pamoja na nyingine aina ya shotgun (ya kushoto), namba za usajili 68022, ambazo zinaaminika zimekuwa zikitumika katika matukio kadhaa ya ujambazi mkoani humo.
G03A1353
Bunduki aina ya shotgun Greener ambayo imekatwa kitako huku ikiwa imefungwa 'hirizi' kitu kinachoofanana na gruneti (iliyoning'inia) ambayo ilikamatwa jana katika operesheni tokomeza uhalifu inayoondeshwa na jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro.
G03A1357
G03A1358
Sehemu ya mali zilizokamatwa katika kamatakamata hiyo.Na Dixon Busagaga wa globu.

No comments:

Post a Comment

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *