TOKOMEZA MADAWA YA KULEVYA:DKT. GHARIB BILAL MGENI RASMI KWENYE MAADHIMISHO SIKU YA MADAWA YA KULEVYA ,MKOANI MBEYA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Friday, 27 June 2014

TOKOMEZA MADAWA YA KULEVYA:DKT. GHARIB BILAL MGENI RASMI KWENYE MAADHIMISHO SIKU YA MADAWA YA KULEVYA ,MKOANI MBEYA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia kwenye maadhimisho ya siku ya kupiga vita madawa ya kulevya yaliyoadhimishwa kitaifa leo Juni 26-2014 katika viwanja vya Ruanda Nzovwe Mkoani mbeya. 
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal. akipata maelezo juu ya athari za utumiaji wa madawa ya kulevya kutoka kwa Msanii Rehema Charamila (RC) wakati alipotembelea mabanda ya maonesho, kwenye maadhimisho ya siku ya kupiga vita madawa ya kulevya yaliyoadhimishwa kitaifa Juni 26-2014 katika viwanja vya Ruanda Nzovwe Mkoani mbeya. 

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal. Akionyeshwa baadhi madawa ya kulevya na Mkemia Daraja la kwanza Alois Ngonyani, alipotembelea mabanda ya maonesho kwenye maadhimisho ya siku ya kupiga vita madawa ya kulevya yaliyoadhimishwa kitaifa Juni 26-2014 katika viwanja vya Ruanda Nzovwe Mkoani mbeya.


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akisalimiana na Msanii Rehema Charamila kwenye maadhimisho ya siku ya kupiga vita madawa ya kulevya yaliyoadhimishwa kitaifa Juni 26-2014 katika viwanja vya Ruanda Nzovwe Mkoani mbeya.


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akisalimiana na Msanii Masanja Mkandamizaji kwenye maadhimisho ya siku ya kupiga vita madawa ya kulevya yaliyoadhimishwa kitaifa Juni 26-2014 katika viwanja vya Ruanda Nzovwe Mkoani mbeya. 
 Baadhi ya wananchi wa Mkoa wa mbeya na baadhi ya Vijana walioathirika kutokana na kumia madawa ya kulevya wakiwa katika maandamano kwenye maadhimisho ya siku ya kupiga vita madawa ya kulevya yaliyoadhimishwa kitaifa Juni 26-2014 katika viwanja vya Ruanda Nzovwe Mkoani mbeya.
(Picha na OMR)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya Wanafunzi wa shule mbalimbali za Mkoa wa Mbeya baada ya kuhutubia kwenye ya maadhimisho ya siku ya kupiga vita madawa ya kulevya yaliyoadhimishwa kitaifa Juni 26-2014 katika viwanja vya Ruanda Nzovwe Mkoani mbeya.

No comments:

Post a Comment