SHULE YA WASIOONA : WAZIRI MKUU MHE. MIZENGO PINDA ATEMBELEA SHULE YA WASIOONA YA BIGIRI, MKOANI DODOMA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 5 June 2014

SHULE YA WASIOONA : WAZIRI MKUU MHE. MIZENGO PINDA ATEMBELEA SHULE YA WASIOONA YA BIGIRI, MKOANI DODOMA

PG4A1456Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama  baadhi ya michoro unayotumika katika kuwafundishia  wanafunzi wasiona  wakati alipotombelea shule maalu ya Wasioona ya Bigiri Dodoma Juni4,2014. Kulia ni Mratibu wa Mpango wa kuifadhili shule hiyo, Bw. V. Ramadhar Reddy  ambaye ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya  SURA.
PG4A1467Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama  baadhi ya michoro unayotumika katika kuwafundishia  wanafunzi wasiona  wakati alipotombelea shule maalu ya Wasioona ya Bigiri Dodoma Juni4,2014. Kulia ni Mratibu wa Mpango wa kuifadhili shule hiyo, Bw. V. Ramadhar Reddy  ambaye ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya  SURA.PG4A1493Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua majengo na vifaa vya  kufundishia  wakati alipotembelea Shule Maalu ya Wasioona ya Bigiri iliyopo Dodoma Juni 4, 2014 Kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi Juni 4, 2014.
PG4A1508Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua majengo na vifaa vya  kufundishia  wakati alipotembelea Shule Maalu ya Wasioona ya Bigiri iliyopo Dodoma Juni 4, 2014 Kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi Juni 4, 2014.
PG4A1512Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na walimu,  baadhi ya wanafunzi na watendaji wa  wilaya ya Chamwino wakati alipotembelea   shule ya wasiiona ya  Bigiri  Juni 4, 2014, Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dr. Rehema Nchimbi na kulia ni Mratibu wa Mpango wa kuifadhili shule hiyo, Bw. V. Ramadhar Reddy. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment