Ndugu
Fredricky Kajiru Mroki wa Kipera-Kinyenze Morogoro, anasikitika
kutangaza kifo cha mtoto wake Eliewaha Kajiru (Pichani) kilichotokea
alfajiri ya leo Nyumbani kwakwe Kipera.
Mipango
ya mazishi inafanyika nyumbani kwa Bibi yake Kinyenze, Mvomero
Morogoro. Habari ziwafikie, Baba Mkubwa wa Marehemu, Lloyd Atenaka wa
Kibaha Block B, Baba wadogo wa Marehemu, Dossa Mroki, Onesmo Nathan,
Thomas Nathan, Daniel Nathan, Kyase Nathan na Mroki Mroki. Shangazi wa
Marehemu, Stella Kaluse na Namche Mroki wa Dar es Salaam. Pia habari
ziwafikie Babu wa Marehemu Agustino Shogholo Mgonja wa Pugu Kajiungeni
na ukoo wote wa Kajiru, Mroki, na Shogholo popote pale walipo.
BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE.
No comments:
Post a Comment