Mchana wa
leo mamia ya Watanzania walifurika katika viwanja vya Leaders Club
kuuaga mwili wa mtayarishaji wa filamu na muongozaji wa vipindi vya Televisheni marehemu Geogre Tyson aliyeaga dunia Ijumaa iliyopita
maeneo ya Gairo kwa ajali mbaya ya gari. Pichani ni Mkuu wa mkoa wa Dar
es Salaam Sadik M. Sadik akizungumza na wafiwa pamoja na waombolezaji
waliofika katika viwanja hivyo.
Pichani
kuanzia kushoto ni Mama mzazi wa Mboni Masimba halafu Mboni mwenyewe
pamoja na mtoto wa marehemu anaitwa Sonia akiwa na mama yake Monalisa.
Mboni Masimba wa The Mboni Show akiongea kwa Uchungu
Mama mzazi wa Lulu pamoja na Mama mzazi wa marehemu Kanumba
Mwakilishi kutoka BASATA
Dullah wa Planet Bongo nae alikuwepo
Le Mutuzzz nae alikuwepo
Roma na Lady Jay Dee walikuwepo
Rehema kutoka Visual Lab akiwa kwenye mazunguzo na Roma
Mwenyekiti wa Bongo Movie Steven Nyerere akizungumza jambo. Picha Zote na www.matukiotz.com
No comments:
Post a Comment