Kamanda wa polisi mkoa wa Iringa Ramadhan Mungi kushoto akisalimiana na mwakilishi wa kampuni ya Dandu ambao lori lao limeteketezwa kwa moto |
Kamanda wa polisi mkoa wa Iringa akionyesha mitumba iliyohifadhiwa katika nyumba moja Nyololo baada ya kufaulishwa na dereva na utingo wake kisha lori kuchoma moto |
Hii ndio mitumba iliyohifadhiwa mali ya wizi |
Mitumba hiyo ikionekana kwa nje baada ya kujaa ndani ya nyumba hiyo kupita kiasi |
Safari ya kwenda kubaini mali ya wizi iliyofanywa na kamanda wa polisi Iringa |
RPC Iringa Ramadhan Mungi akiangalia mitumba iliyohifadhiwa porini baada ya kuporwa |
Kamanda wa polisi mkoa wa Iringa Ramadhan Mungi akitoka kushuhudia mabelo ya mitumba yaliyofichwa porini kijiji cha Maguhani Mufindi |
kamanda wa polisi Iringa Ramadhan Mungi akimwonyesha mmiliki wa nyumba iliyohifadhi mali hizo za wizi kulia na dereva wa gari hilo mbele lenye namba T 185 CJM ambalo ndilo lilikuwa likisomba mali hizo za wizi kutoka katika lori lililochomwa moto |
Watuhumiwa wa wizi wa mali zilizokuwa zikisafirishwa na lori la kampuni ya Dandu |
Hili ndilo lori lililokuwa na mali hizo chini kukiwa na ubichi wa mafuta ya taa yaliyomwagwa ili kulilipua lori hilo bila mafanikio |
Mwonekano wa lori hilo kwa ndani baada ya mali zote kuhamishwa kwa lengo la kuziiba |
Kamanda wa polisi mkoa wa Iringa Ramadhan Mungi akionyesha lori hilo mali ya kampuni ya Dandu ambalo limechomwa moto na dereva na utingo wake baada ya kufaulisha mali zote kwa lengo la kuiba |
No comments:
Post a Comment