Polisi waliofika katika eneo la tukio wakikagua mwili wa mtu aliekutwa amekufa
Mtu mmoja ambaye jina lake halikuweza kupatikana kwa haraka ,amekutwa amekufa katika eneo la JR Kerai asubuhi ya leo hapa Arusha, kwa mujibu wa shuhuda mmoja alidai kuwa mtu huyo ni mkazi wa Kwa Moromboo.
Kwa Mujibu wa polisi waliofika katika eneo la tukio wamedai kuwa mtu huyo inawezekana amepigwa kisha kuja kutupwa katika eneo hilo. chanzo cha mauaji hayo bado tunafuatilia
No comments:
Post a Comment