CHATU MKUBWA AUWAWA : CHATU AKUTWA NA VITAMBAA VIWILI CHEUSI NA CHEUPE WANANCHI WAMCHARANGA NA MASHOKA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 5 June 2014

CHATU MKUBWA AUWAWA : CHATU AKUTWA NA VITAMBAA VIWILI CHEUSI NA CHEUPE WANANCHI WAMCHARANGA NA MASHOKA


​​Kijana akiwa amembeba nyoka baada ya kucharangwa kwa mapanga akitoka naye nje ya uzio wa kanisa hilo
 Nyoka aina ya chatu aliyetolewa nyumbani kwa mfanyabiashara maarufu jijini Arusha Joseph Magesse akivutwa na wananchi kuelekea kwenye kanisa katoliki la karsamatiki eneo la Sakina jijini Arusha ambapo aliuawa kwa kucharangwa na shoka na wananchi wenye hasina na imani hizo za kishirikina
 MMOJA wawananchi akiwa ameshika shoka akiendelea kumchoronga chatu huyo
 Mabaki ya mwili wa chatu huyo baada ya kucharangwa mapanga na mashoka na wananchi

​​Nyumba yamfanyabishara ambapo alikutwa nyoka huyo na chini ni sehemu ya magari ya mfanyabiashra huyo

No comments:

Post a Comment