MSIBA MZITO BONGO MOVIES: MUONGOZA FILAMU NGULI GEORGE TYSON AFARIKI DUNIA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Saturday, 31 May 2014

MSIBA MZITO BONGO MOVIES: MUONGOZA FILAMU NGULI GEORGE TYSON AFARIKI DUNIA

IMG_4176
George Tyson akiwa na Mboni Masimba enzi za uhai wake.

Masaa 4 kabla ya kifo cha GEOGRE TYSON pamoja na gari alilopata ajali zitazame hapo chini....

IMG_4162
Marehemu Geogre Tyson pichani hapa alikuwa yupo kijiji cha Chilonwa Chamwino kwenye utoaji wa madawati katika shule ya msingi Chaula iliyopo Dodoma. Baada ya kumaliza shughuli hii huku akiwa kama producer wa The Mboni Show mauti yalimkuta majira ya saa 12 jioni masaa 4 tu toka tuanze safari ya kurudi Dar es Salaam maeneo fulani hivi kama unataka kukaribia GAIRO mjini.
Katika gari hilo walikuwa watu 8 ila yeye pekee ndio aliyepoteza mauti na wengine kupata majiraha mwilini pamoja na dereva wa gari hilo. Kwa sasa mwili wa marehemu umehifadhiwa hapa Morogoro katika  hospital ya mkoa Morogoro, baadae asubuhi mwili utaanza safari ya kurudi Dar es Salaam
IMG_4166 IMG_4213 IMG_4214 IMG_4215
 PICHA ZOTE NA DJ CHOKA

No comments:

Post a Comment