Msanii wa Bongo Fleva AY akiwa amewasili
na crew yake nzima kuja kumpa pole Mbonie Masimba, AY alitoa laki 6
kununua jeneza la marehemu Tyson hii ikiwa kama mchango wake kwa
kuthamini kile alichomfania wakati akiwa hai. Sasa msafara unaelekea
Bongo na mwili utafikia Hospital ya Kairuki iliyopo Mikocheni na
naambiwa msiba uko upo Bahari Beach nyumbani kwa marehemu.
ws4h Yaweka Msingi wa Huduma Endelevu za Maji na Afya
-
Na Mwandishi Wetu
SERIKALI imesema mafanikio yaliyopatikana kupitia Mradi wa Mifumo ya Maji,
Usafi wa Mazingira na Afya (WS4H) yameweka msingi mpya wa k...
6 hours ago
No comments:
Post a Comment