MAZISHI YA RACHEL : MUIGIZAJI WA FILAMU RACHEL HAULE AZIKWA KATIKA MAKABURI YA KINONDONI, JIJINI DAR ES SALAAM - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Friday, 30 May 2014

MAZISHI YA RACHEL : MUIGIZAJI WA FILAMU RACHEL HAULE AZIKWA KATIKA MAKABURI YA KINONDONI, JIJINI DAR ES SALAAM

 Aunt Ezekiel na Wema Sepetu wakiwa makaburini.
 Mchumba wa Marehemu Rachel, Saguda (katikati) akiwa na majonzi tele wakati wa mazishi ya mchumba wake
 Majeneza yenye mwili wa marehemu Rachel na Mwanae yakiletwa Katika makaburi ya Kinondoni
 Mchungaji akiendesha sala ya kusalia Miili ya Marehemu Rachel na Mwanae katika Makaburi ya Kinondoni
 Majeneza Yakiweka katika kaburi 
 Waombolezaji wakiweka mchanga katika kaburi la Marehemu Rachel
 Bibi Wa Marehemu akiweka mchanga katika kaburi ya Mtoto wa Marehemu Rachel aliyefariki wakati akijifungua
 Mchumba wa Marehemu akiweka mchanga katika kaburi la Mchumba wake, Marehemu Rachel
 
Mwakilishi wa Kampuni ya Proin Promotions akiweka Shada la Maua wakati wa mazishi ya Marehemu Rachel Haule na mwanae yaliyofanyika katika Makaburi ya Kinondoni.

 Mwenyekiti wa Bongo Movie akiweka Shada la Maua katika kaburi la Rachel
Mchungaji akiweka Shada la Maua katika kaburi la Marehemu Rachel Haule

No comments:

Post a Comment