UTUMISHI WA UMMA :WAZIRI CHIKAWE, IGP, DCI WALA KIAPO CHA KUWA WAJUMBE WA TUME YA UTUMISHI YA JESHI LA POLISI NA MAGEREZA - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


30 Apr 2014

UTUMISHI WA UMMA :WAZIRI CHIKAWE, IGP, DCI WALA KIAPO CHA KUWA WAJUMBE WA TUME YA UTUMISHI YA JESHI LA POLISI NA MAGEREZA

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.Mathias Chikawe akila kiapo cha kuwa Mwenyekiti wa Tume ya utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza mbele ya Jaji wa Mahakama kuu Mhe. Njengafibili Mwaikugile jijini Dar es Salaam jana .Tume hiyo inashughulikia masuala ya kiutumishi kwa askari polisi na Magereza.Katikati ni Msajili wa Mahakama kuu Bw.Benedict Mwingiwa
 Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu akila kiapo cha kuwa mjumbe wa Tume ya utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza  mbele ya Jaji wa Mahakama kuu Mhe. Njengafibili Mwaikugile jijini Dar es Salaam jana .Tume hiyo inashughulikia masuala ya kiutumishi kwa askari polisi na Magereza.Katikati ni Msajili wa Mahakama kuu Bw.Benedict Mwingiwa

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad