MUNGU KAMPENDA ZAIDI :WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AONGOZA MAZISHI YA ALIYEKUWA ASKOFU WA KANISA LA ANGLICAN CENTRAL TANGANYIKA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Saturday, 5 April 2014

MUNGU KAMPENDA ZAIDI :WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AONGOZA MAZISHI YA ALIYEKUWA ASKOFU WA KANISA LA ANGLICAN CENTRAL TANGANYIKA


  Waziri mkuu Mizengo Pinda na mkewe wakitoa heshima za mwisho walipokuwa wakiuaga mwili wa aliyekuwa Askofu wa kanisa la Anglican Central Tanganika Godfrey Mdimi Mhogolo kabla ya ibada ya mazishi iliyofanyika katika kanisa la roho mtakatifu Dodoma.
  Mjane wa Marehemu aliyekuwa Askofu wa Kanisa la Anglican Central Tanganika Godfey Mhogolo, Iren Mhogolo akiwa mwenye huzuni pembeni ya jeneza kabla ya kuingizwa kaburini.
 Maaskofu mbalimbali wa kanisa la Aglican wakilishusha jeneza lenye mwili wa aliyekuwa  Askofu wa kanisa hilo Central Tanganika Godfrey Mdimi Mhogolo kaburini, katika mazishi yaliyofanyika nje ya kanisa la Roho Mtakatifu maarufu  la Mtungi Mjini Dodoma.

No comments:

Post a Comment