CHADEMA ARUSHA : MWALIMU MWENYE NDOTO ZA KUWA DIWANI WA OLASITI 2015 - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 8 April 2014

CHADEMA ARUSHA : MWALIMU MWENYE NDOTO ZA KUWA DIWANI WA OLASITI 2015


NINA DHAMIRA YA DHATI YA KUWATUMIKIA WANANCHI WA KATA YA OLASITI.. Ili kufikia hicho UBUNIFU na uchapa KAZI za Chama kwa Bidii ndio NGUZO YA USHINDI wangu..
Kamanda Francis Chuma Katibu wa Chadema ni Msingi Jimbo tulishiriki katika uelimishaji na uenezi wa chama Mianzini.
Mh. Ephata Nanyaro Diwani wa Levolosi, alishiriki katika uelimishaji na uenezi wa chama Mianzini.
MTAFUTE HUMU www.danielurioh.blogspot.com UONE HARAKATI ZAKE...

No comments:

Post a Comment