Waziri
wa Jumuiya ya Afrika Mashariki,Mh. Samuel Sitta akiwa katika kikao cha
Nchi cha ushauri na makatibu wakuu wa Wizara hawapo pichani leo asubuhi
kujiandaa na Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Afrika
Mashariki baadae leo.
Katibu
Mkuu Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Bi. Joyce Mapunjo
katikati na Naibu Katibu Wizara ya Fedha Profesa Adoft F. Mkenda pamoja
na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa kwanza
kushoto ndugu Amatius C. Msole wakichangia ushauri leo asubuhi katika
kikao cha kujiandaa na Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya
Afrika Mashariki baadae leo.
Waziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki,Mh. Samuel Sitta pamoja
na Naibu Waziri wa Fedha Mhe.Adam Malima akiwa katika kikao cha Nchi
cha ushauri na makatibu wakuu wa Wizara hawapo pichani leo asubuhi
kujiandaa na Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Afrika
Mashariki baadae leo.
Wataalamu
Wazara ya Fedha, Wizara ya Ushirikiano Wa Afrika Mashariki na Wizara ya
Viwanda na Biashara,wakiwa katika kikao cha Nchi cha ushauri na
makatibu wakuu wa Wizara hawapo pichani leo asubuhi kujiandaa na Mkutano
wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki baadae leo.
Wataalamu
Wazara ya Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki wakiwa katika kikao
cha Nchi cha ushauri na makatibu wakuu wa Wizara hawapo pichani leo
asubuhi kujiandaa na Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Afrika
Mashariki baadae leo.
No comments:
Post a Comment