Mwenyekiti
wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Samuel Sitta akimpatia taarifa juu ya
mwenendo wa Bunge Maalum la katiba na ulipofikia, Rais Wa Serikali ya
Mapinduzi Zanzibar Mheshimiwa Dkt. Ali Mohammed Shein, alipomtembelea
nyumbani Ikulu ya Migombani Zanzibar. Mhe Sitta alikuwa Visiwani
Zanzibar kwa lengo la kuonana na Mhe. Shein kumpatia taarifa kamili ya
shughuli za Bunge Maalum la Katiba. Picha na Owen Mwandumbya - Bunge
Maalum
SERIKALI KUONGEZA NGUVU MAPAMBANO DHIDI YA UKIMWI
-
*Na. Mwandishi Wetu - Shinyanga*
*SERIKALI imesema itaendelea kuongeza nguvu katika mapambano dhidi ya
maambukizi ya Virusi vya UKIMWI (VVU), kwa kubo...
2 hours ago

No comments:
Post a Comment