mkuu
wa wilaya ya Hai Novatus Makunga akiwa anasalimiana na wachezaji wa
timu Mango Garden ya jijini Dar es salaam wakati walivyokuja kushiriki
bonanza la kitambi noma lililofanyika katika kiwanja cha kumbukumbu ya
sheikh Amri Abeid ya jijini Arusha
katika bonanza hili la kitambi noma kuliuzuriwa na watu wengi akiwemo
mmbunge wa jimbo Meatu kupitia CHADEMA Aliyevaa tisheti ya blue Mh. Meshack Opulukwa
kulikuwepo pia na mashindano ya kukimbia na magunia ambapo katika
mashindano haya mchezaji kutoka timu ya Mango Garden alishinda
washabiki wa timu ya kitambi noma ya jijini Arusha wakishabikia ushindi mara baada ya kushinda kukimbiza kuku
wachezaji w timu ya Benson kampani wakivuta kamba
wadau wa timu ya kitambii noma wakiwa pamoja na mdada wa libeneke la kaskazini katika bonanza la kitambi noma siku ya pasaka
Mheshimiwa
mkuu wa Wilaya ya Hai Novatus Makunga akiwa na mdada wa libeneke la
kaskazini Blog (Woinde Shizza) wakati wa bonanza la pasaka lililoandaliwa
na timu ya kitambi noma ya jijini Arusha ambapo mkuu wa wilaya ni
mwanachama wa klabu hiyo
No comments:
Post a Comment