Zaidi ya Abiria 55 waliokuwa ndani ya Basi la kampuni ya Hood, wakisafiri kutoka Mbeya kwenda Arusha walinusurika kufa baada ya Basi hilo kushika moto na kuteketea kabisa katika kijiji cha Kilolele-Chalinze Mkoani Pwani.
TAFITI ZA NDANI ZATAKIWA KUIMARISHA HUDUMA ZA AFYA YA AKILI
-
Na Farida Mangube, Morogoro
Wataalamu wa saikolojia nchini wameeleza kuwa ukosefu wa tafiti zinazoakisi
uhalisia wa jamii za Kitanzania, pamoja na kue...
12 hours ago
No comments:
Post a Comment