AFYA YETU : WAJUMBE WA MKUTANO WA WANAWAKE NA VIJANA WA KIKRISTO DUNIANI WAITEMBLEA HOSPITALI YA KALOLENI, JIJINI ARUSHA - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.

Post Top Ad

20 Mar 2014

AFYA YETU : WAJUMBE WA MKUTANO WA WANAWAKE NA VIJANA WA KIKRISTO DUNIANI WAITEMBLEA HOSPITALI YA KALOLENI, JIJINI ARUSHA

 Baadhi ya wajumbe wa mkutano wa umoja wa wanawake vijana wa kikristo duniani walipofanya ziara katika kituo cha afya cha Kaloleni jijini arusha kujionea hali ya huduma kwa akina mama wajawazito na wasichana wenye ujauzito.
 Bi Severa joseph akitoa maelezo ya aina ya dawa zinazotumika kwa akina mama wajawazito katika kituo cha afya Kaloleni cha jijini arusha kwa baadhi ya washiriki wa mkutano wa umoja wa wanawake vijana wa kikristo duniani.
Dr Anna Kimaro mganga wa zamu wa kituo cha afya Kaloleni aliyebeba faili kwapani akiwa na wajumbe wa mkutano wa umoja wa wanawake vijana wa kikristo duniani YWCA walipo tembelea katika kituo hicho jijini arusha.
 Baadhi ya wajumbe wa mkutano wa umoja wa wanawake vijana wa kikristo duniani walipofanya ziara katika kituo cha afya cha Kaloleni jijini arusha kujionea hali ya huduma kwa akina mama wajawazito na wasichana wenye ujauzito.
Baadhi ya wajumbe wa mkutano wa umoja wa wanawake vijana wa kikristo duniani walipofanya ziara katika kituo cha afya cha Kaloleni jijini arusha wakipata maelezo ya kina kutoka kwa moja ya wafanyakazi wa kituo hicho.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad