KIMATAIFA : DKT. JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA BINTI MFALME WA SWEDEN, IKULU DAR ES SALAAM - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 20 March 2014

KIMATAIFA : DKT. JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA BINTI MFALME WA SWEDEN, IKULU DAR ES SALAAM


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Binti wa Mfalme wa Sweden HRH Crown Princess, Victoria Lugrid Alice Desiree, alipomkaribisha Ikulu jijini Dar es salaam jana mchana.
 Picha ya pamoja.....
wakitoka kwenye mazungumzo yao.....:Picha na Ikulu

No comments:

Post a Comment