Mkurugenzi wa 8020fashionsblog.com , B2A Company , Fashonista & Blogger Bi. Shamim Mwasha katika BIRTHDAY PARTY YAKE... ,aliyofanyiwa na mume wake pamoja na mwanamitindo Bi. Flaviana Matata |
ME NALIA YE ANACHEKA
BAADA YA KUMALIZA KUFUTA MACHOZI AKAMPOOOZA NA KIJACHO MAANA ALISTUKA
JIUGONJWA
HILI POZI LA KULISHANA CAKE ALILISHADADIA MYLER SIJUI ANALIHITAJI AONE LINAVYOTOKELEZEA ILI ATUMIE
UMENIFIX EEE ITAKUCOST, we chekelea tu na huo u1stborn wako
nimetanuka bwana cheki kono hilo
MY DESIGNER EVE COLLECTIONS
dada Kubwa….hata weweee
Eti Lulu baadaea akaniigiza nilivyokuwa na ingia nakulia….itakucost Toto
mwenyewe nilimwambia Hawa aje anipige picha kivazi changu cha EVE COLLECTIONS
Kijacho alishikwajee sasa
UONGOZI WA WAZALENDO 25 BLOG ,hasa CEO of it GADIOLA EMANUEL TUNAKUTAKIA HAPPY BIRTHDAY AND LIVE LONG #FELLOWBLOGGER BI. SHAMIM MWASHA a.k.a ZEZE, MAY GOD GRANT YOU THE DESIRE OF YOUR HEART. LOVE YOOOO
No comments:
Post a Comment