Kitaifa : Rais wa Burundi Amfariji Rais Samia Kizimkazi Zanzibar - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

Tuesday, 8 September 2026

Kitaifa : Rais wa Burundi Amfariji Rais Samia Kizimkazi Zanzibar

Rais wa Jamhuri ya Burundi, Mhe. Evariste Ndayishimiye, akimfariji Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 08 Septemba 2026, kufuatia kifo cha mume wake, Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan.


 

No comments:

Post a Comment