DIAMOND PLATNUMZ: AKIWA KWENYE INTERVIEW KATIKA RADIO NA LUNINGA YA CITIZEN-KENYA MJINI, NAIROBI - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Saturday, 25 January 2014

DIAMOND PLATNUMZ: AKIWA KWENYE INTERVIEW KATIKA RADIO NA LUNINGA YA CITIZEN-KENYA MJINI, NAIROBI


nilianza na kipindi cha Mambo mseto
cha Radio citizen chini ya Mzazi Willy Tuva...ambaye
alitaka kufaham mipango yangu kimziki
,next collabos,collabo na wanamuziki wa Kenya
na kuhusu maisha yangu kwa ujumla lakini pia..nilijibu maswali yaliyoulizwa live
na wasikilizaji wa Mambo mseto 
na wapenzi wa mziki wangu,...
Safari ikaanzia Hotelini

Baada ya kuwasili 
Nikifafanua kuhusu swala la collabo 
nilizofanya na ninazotalajia kuzifanya

Mzazi Willy M Tuva...akiwa mtamboni..

Baadhi ya watangazaji wa Citizen
Picha ya pamoja na Mzazi Willy 'M' Tuva

No comments:

Post a Comment