
Waziri mkuu Mhe. Mizengo Pinda akizungumza na wakazi wa mji wa Lindi mara baada ya kuweka jiwe la msingi katika kiwanda cha saruji Lindi na kulia ni Mkurugenzi wa kiwanda hicho,Merey ally Saleh

Mandhari ya kiwanda hicho katika hatua ya ujenzi inayotarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwaka huu

Mchoro wa kitakavyokuwa kiwanda hicho mara baada ya kukamilika mwishoni mwa mwaka huu

Timu ya mafundi ikongozwa na wachina katika hatua za ujenzi

wadau

Wananchi waliohudhuria hafla hiyo iliyofanyika katika eneo la Machole kinapojegwa kiwanda hicho

Sehemu ya mitambo ya ujenzi

Waziri mkuu Mhe. Mizengo pinda akifunua pazia kama ishara ya kuweka Jiwe la Msingi la ujenzi wa Kiwanda cha MEIS Cement Lindi.
No comments:
Post a Comment