CHADEMA JIJINI ARUSHA : HARAKATI ZA M4C- PAMOJA DAIMA , TUNDU LISSU ,JOHN HECHE NA DEO MUNISHI WAWASHA MOTO, SOMBETINI ARUSHA. - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Saturday, 25 January 2014

CHADEMA JIJINI ARUSHA : HARAKATI ZA M4C- PAMOJA DAIMA , TUNDU LISSU ,JOHN HECHE NA DEO MUNISHI WAWASHA MOTO, SOMBETINI ARUSHA.

Mhe. Tundu Lissu ambae ni kiongozi wa M4C -PAMOJA DAIMA kanda ya Kaskazini akiwa na Kamanda Daniel Urioh (Kulia) ,ambae anatarajia kuchukua Udiwani kata ya Olasiti 2015.
Chopa ikitua katika viwanja vya Sombetini-Jijini Arusha
Mama mzazi wa Diwani mtarajiwa wa CHADEMA Bw. Ally Bananga akiwa katika harakati za kumsapoti mwanae kwenye kampeni.

Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa Bw. John Heche akimnadi mgombea wa Udiwani  kata ya Sombetini jijini Arusha
Aliyekuwa diwani wa kata ya Sombetini Bw. Alfonso Mawazo akimweleza Bw. John Heche imani yake kwa Ally Bananga agombee Udiwani  kata ya Sombetini.
Mhe. Tundu Lissu ambae ni kiongozi wa M4C -PAMOJA DAIMA kanda ya Kaskazini akimnadi mgombea wa Udiwani  kata ya Sombetini jijini Arusha.


Mhe. Ephata Nanyaro ambae ni Mwenyekiti wa BAVICHA wilaya ya Arusha Mjini, akimnadi mgombea wa Udiwani  kata ya Sombetini Bw. Ally Bananga.
Bw. Amani Golugwa ambae ni Mratibu wa CHADEMA kanda ya kaskazini, akimnadi mgombea wa Udiwani  kata ya Sombetini Bw. Ally Bananga.
Mhe. Joshua Nassari ambae ni Mbunge wa Arumeru Mashariki akimnadi mgombea wa Udiwani  kata ya Sombetini Bw. Ally Bananga.
Chopa ikiondoka katika viwanja vya sombetini Jijini Arusha.
Wananchi wakiishangilia CHOPA inavyoondoka katika viwanja vya Sombetini Jijini ,Arusha.

No comments:

Post a Comment