
Hili ni tangazo zuri lililojaa nakshi na
picha za kitaifa kuhusu uhuru wetu, najaribu kutafuta 'connection' ya
kiriadha katika hii settings ila nakumbana na picha za wasanii bila
kuona hata picha moja ya mwanariadha wa kitanzania. Kwa upande mwingine
ada za namba ya kukimbilia (Bib Number Fees) ni kubwa pasipokuambatana
na maelezo.
No comments:
Post a Comment