MheshimiwaBalozi
Batilda S. Burian, Baloziwa Tanzania nchini Seychelles mwenye makazi
yake nchini Kenya, aliwasilisha Hati zake za Utambulisho kwa Mheshimiwa
James Alix Michel, Rais wa Jamhuri ya Seychelles tarehe 5 Novemba, 2013
katika Ikulu ya Rais Seychelles.
Mh.
Rais James Alix Michel wa Seychelles akiwa katika mazungumzo na
MheshimiwaBalozi Batilda S. Burian mara baada ya kuwasilisha Hati za
Utambulisho. Mazungumzo hayo yalilenga zaidi katika Mashirikiano ya
kiuchumi kati ya nchi hizi mbili.
Mh.
Rais James Alix Michel wa Seychelles akiwa katika picha ya pamoja na na
MheshimiwaBalozi Batilda S. Burian. Kulia kwa Mh. Rais Michel ni Brig.
Gen. E.V. Milinga, Mwambata Jeshi, Ubalozi wa Tanzania, Nairobi Kenya.
Mh. Balozi Batilda Burian akiwa katika mazunguzo na Mheshimiwa Prof. Rolph Payet, WaziriwaMazingira naNishati.
Mh.
Balozi Batilda Burian akiwa katika mazunguzo na Mheshimiwa Christian
Lionnet, WaziriwaArdhi na Nyumba. Mazungumzo hayo yalihusu namna ya
kuimarisha mahusiano yetu katika sekta ya ardhi na nyumba.
Mh. Balozi Batilda Burian akiwa katika mazunguzo Mheshimiwa Pierre Laporte, Waziri wa Fedha.
Mh. Balozi Batilda Burian akiwa katika mazunguzo na Mheshimiwa Dkt Patrick S. Herminie, Spikawa Bunge la Jamhuri ya Seychelles. Picha zaidi bofya hapa >>>
No comments:
Post a Comment