WAZIRI
WA MAMBO YA NDANI YA NCHI MH, Dr. EMMANUEL NCHIMBI AKIKAGUA GWARIDE LA
WAHITIMU WA MAFUNZO YA AWALI YA ASKARI POLISI WAKATI WA SHEREHE ZA
KUFUNGA MAFUNZO HAYO ,KATIKA CHUO CHA POLISI MOSHI (CCP). TAKRIBANI
ASKARI POLISI ELFU TATU NA TISINI NA MBILI WALIHITIMU MAFUNZO, WAKIWEMO
ASKARI WA UHAMIAJI HAMSINI NA MOJA.
ASKARI
POLISI WALIOHITIMU MAFUNZO, WAKIONYESHA PIKIPIKI INAVYOWEZA KUSAIDIA
KATIKA KUKABILIANA NA WAHALIFU KWA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI MH,
Dr. EMMANUEL NCHIMBI ALIYEKUA MGENI RASMI KATIKA SHEREHE ZA KUFUNGA
MAFUNZO YA AWALI KWA ASKARI POLISI NA UHAMIAJI ,MJINI MOSHI.
TAKRIBANI ASKARI POLISI ELFU TATU NA TISINI NA MBILI WALIHITIMU MAFUNZO,
WAKIWEMO ASKARI WA UHAMIAJI HAMSINI NA MOJA.
WASANII
WA KIKUNDI CHA NGOMA CHA CHUO CHA POLISI MOSHI WAKITOA BURUDANI, MJINI MOSHI WAKATI WA SHEREHE ZA KUFUNGA MAFUNZO YA AWALI KWA ASKARI
POLISI NA UHAMIAJI. TAKRIBANI ASKARI POLISI ELFU TATU NA TISINI NA MBILI
WALIHITIMU MAFUNZO, WAKIWEMO ASKARI WA UHAMIAJI HAMSINI NA MOJA.
MHITIMU
WA MAFUNZO YA AWALI YA ASKARI POLISI AKIVUNJA VIGAE KWA KUPIGA NGUMI ,MJINI MOSHI ALIPOKUA AKIFANYA ONYESHO LA UKAKAMAVU WAKATI WA SHEREHE
ZA KUFUNGA MAFUNZO YALIYOJUMUISHA ASKARI POLISI NA UHAMIAJI. TAKRIBANI
ASKARI POLISI ELFU TATU NA TISINI NA MBILI WALIHITIMU MAFUNZO, WAKIWEMO
ASKARI WA UHAMIAJI HAMSINI NA MOJA KATIKA CHUO CHA POLISI MOSHI (CCP).
MHITIMU
WA MAFUNZO YA AWALI YA ASKARI POLISI AKIJIANDAA KUVUNJA VIGAE KWA
KUPIGA NGUMI LEO MJINI MOSHI ALIPOKUA AKIFANYA ONYESHO LA UKAKAMAVU
WAKATI WA SHEREHE ZA KUFUNGA MAFUNZO YALIYOJUMUISHA ASKARI POLISI NA
UHAMIAJI. TAKRIBANI ASKARI POLISI ELFU TATU NA TISINI NA MBILI
WALIHITIMU MAFUNZO, WAKIWEMO ASKARI WA UHAMIAJI HAMSINI NA MOJA KATIKA
CHUO CHA POLISI MOSHI (CCP).
KIKUNDI
CHA KARETI NA JUDO CHA WAHITIMU WA MAFUZO YA AWALI YA ASKARI POLISI NA
UHAMIAJI WAKIFANYA ONYESHO LA KARETI KWA MGENI RASMI MH, Dr. EMMANUEL
NCHIMBI WAKATI WA SHEREHE ZA KUFUNGA MAFUNZO HAYO. TAKRIBANI ASKARI
POLISI ELFU TATU NA TISINI NA MBILI WALIHITIMU MAFUNZO, WAKIWEMO ASKARI
WA UHAMIAJI HAMSINI NA MOJA KATIKA CHUO CHA POLISI MOSHI (CCP).
PICHA NA HASSAN MNDEME-JESHI LA POLISI.
No comments:
Post a Comment