Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi
akikata utepe kuzindua ofisi ya Dawati la Jinsia na Watoto katika Mkoa
wa Kipolisi Temeke. Kushoto ni Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini, Balozi
Filiberto Ceriani Sebregondi na Kushoto ni Kamanda wa Polisi, Kanda
Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova. Waziri Nchimbi katika hotuba
yake alilishukuru Jeshi la Polisi pamoja na Viongozi wa Mashirika na
Taasisi zisizo za Serikali kwa kusaidia kupambana
na unyanyasaji wa kijinsia nchini.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi
akikionyesha kitabu cha Mpango Mkakati wa miaka mitatu wa kuboresha
madawati ya Kijinsia na Watoto ndani ya Jeshi la Polisi katika uzinduzi
uliofanyika Kituo cha Polisi Chang’ombe, Temeke jijini Dar es Salaam
leo. Kulia ni Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Said Mwema, wapili
kushoto ni Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini, Balozi Filiberto Ceriani
Sebregondi na Kushoto ni Kamanda wa Polisi, Kanda Maalumu ya Dar es
Salaam, Suleiman Kova. Waziri Nchimbi katika hotuba yake alilishukuru
Jeshi la Polisi pamoja na Viongozi wa Mashirika na Taasisi zisizo za
Serikali kwa kusaidia kupambana
na unyanyasaji wa kijinsia nchini.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi akitoa
hotuba yake kwa Askari na Maofisa wa Jeshi la Polisi, Viongozi wa Mashirika
na Taasisi zisizo za Serikali pamoja na wakazi wa Temeke kabla ya kuzindua
Mpango Mkakati wa miaka mitatu wa Kuboresha Madawati ya Kijinsia na
Watoto ndani ya Jeshi la Polisi. Tukio hilo lilifanyika Kituo cha Polisi
Chang’ombe, Temeke jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkuu wa Jeshi
la Polisi nchini (IGP) Said Mwema. Waziri Nchimbi katika hotuba yake
alilishukuru Jeshi la Polisi pamoja na Viongozi wa Mashirika na Taasisi
zisizo za Serikali kwa kusaidia kupambana
na unyanyasaji wa kijinsia nchini.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi (wasita
kulia) akiwa katika picha ya pamoja na maofisa wa Jeshi la Polisi pamoja
na Viongozi wa Mashirika na Taasisi zisizo za Serikali baada ya waziri
huyo kuzindua Mpango Mkakati wa miaka mitatu wa Kuboresha Madawati ya
Kijinsia na Watoto ndani ya Jeshi la Polisi. Tukio hilo lilifanyika
Kituo cha Polisi Chang’ombe, Temeke jijini Dar es Salaam leo. Watano
kulia ni Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Said Mwema. Waziri Nchimbi
katika hotuba yake alilishukuru Jeshi la Polisi pamoja na Viongozi wa
Mashirika na Taasisi zisizo za Serikali kwa kusaidia kupambana
na unyanyasaji wa kijinsia nchini. Picha na Felix Mwagara, Wizara
ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
No comments:
Post a Comment